- 412 viewsDuration: 3:15Hapa nchini Kenya, wanawake hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto, kuandaa chakula na hata kuwashughulikia wanaougua na wazee katika jamii. Kazi hii ambayo mara nyingi sio ya kulipiwa hukosa kuthaminiwa na hata kuwafanya wanawake kukosa kushindania nafasi za uongozi. Na ulimwengu unapoadhimisha siku ya wanawake duniani, tunaangazia wanawake waanzilishi wa kampuni zinazotengeza bidhaa na namna waliweza kushikilia majukumu yao