Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    4 views

    Idara ya wazima moto katika kaunti ya Kirinyaga ikishirikiana na shirika la msalaba mwekundu humu nchini imeanzisha mafunzo yanayowalenga wanafunzi na jamii kuhusu kukabiliana na visa vya moto. Mafunzo hayo yanalenga kupunguza majeruhi na maafa yanayohusishwa na visa va moto hususan katika shule. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha Dira ya Kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive