Makundi mawili yazozana kuhusu uchimbaji wa madini

  • | Citizen TV
    192 views

    Wamiliki wa shamba la kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wamefanya maandamano kushinikiza wizara ya madini kueleza jinsi mwekezaji mmoja ameingia kwenye shamba hilo bila idhini yao