- 1,180 viewsDuration: 3:44Rais William Ruto amesema kuwa serikali itawekeza asilimia 2 ya pato jumla la taifa katika utafiti na ustawi wa kifedha katika hazina ya kitaifa ya utafiti. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi, baada ya kukabidhi vyeti vya kuhudumu kwa taasisi za KEMRI na KAIST rais alisema kuwa hatua hiyo itatoa mabilioni ya pesa za kuimarisha ubunifu na sayansi na hivyo kujaliza mipango ya utawala wake ya kubadili nchi hii. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anaruarifui zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive