Taasisi zatakiwa kujenga vituo vya ushauri

  • | KBC Video
    5 views

    Taasisi za elimu ya juu zimehimizwa kubuni vituo vya kushughulikia visa vya dhuluma za kijinsia katika vyuo.Akiongea na wana-habari wakati wa warsha kuhusu sanaa na ujinsia iliyoandaliwa na kundi la watumiaji huduma za mtandao la Wikimedia katika chuo kikuu cha Pwani, kasisi Dr Dorcas Juma ambaye ni mdhadhiri chuoni humo alikariri kuwa visa vya dhuluma za kijinsia vimeongezeka vyuoni na kubuni kwa vituo vya kushughulikia visa hivyo kutawezesha waathiriwa kupata ushauri nasaha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive