- 767 viewsDuration: 2:23Shirika la kitaifa biashara na viwnada -KNCCI - sasa linaitaka serikali kuangazia upya bei ya mafuta nchini. KNCCI inasema kuwa ongezeko la bei ya mafuta litaathiri uchumi wa taifa. Haya ni huku Viongozi wa serikali, wakiongozwa na naibu rais Kithure Kindiki akisifia juhudi za serikali za kudhibiti bei ya mafuta na kushtumu vikali muungano wa upinzani kwa kuitisha maandamano.