- 132 viewsDuration: 1:33Timu ya mpira wa vikapu ya wasio na uwezo wa kusikia imetoa wito wa kuwa na maandalizi ya kutosha kabla ya michezo ijayo ya deaf-lympics. Kenya ilikuwa na wakati mgumu kwenye mashindano hayo huko Tokyo Japan, ikipoteza mechi zote tatu kwa tofauti kubwa ya pointi