19 Nov 2025 2:02 pm | Citizen TV 1,782 views Duration: 1:00 Timu ya taifa soka Harambee Stars ilinyeshewa mvua ya mabao nane kwa nunge na Senegal kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini uturuki.