Timu ya Kenya ya wanaume ya para volley yamaliza katika nafasi ya tano katika michuano ya Afrika

  • | NTV Video
    154 views

    Timu ya Kenya ya wanaume ya para volley ilimaliza katika nafasi ya tano katika michuano ya Afrika ya para volley baada ya kuwalaza Afrika Kusini katika mechi iliyoandaliwa katika uwanja wa Kasarani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya