Tishio La Mgomo Wa KMPDU: Wizara ya Afya kukutana na chama cha madaktari

  • | KBC Video
    50 views

    Wizara ya afya imepanga kukutana na vyama vya wahudumu wa afya Jumanne ijayo katika juhudi za kuepusha mgomo unaotokota wa madaktari. Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni anasema mkutano huo utajadili masuala yaliyoibuliwa na madaktari miongoni mwao kuchelewa kuwaajiri wanagenzi nchini. Joseph Wakhungu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive