Skip to main content
Skip to main content

Tume ya IEBC imesema haitaongeza muda wa kujisajili kura

  • | Citizen TV
    314 views
    Duration: 1:24
    Tume ya Uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imesema haitaongeza muda wa kujisajili kwa wakenya kuwa wapigakura, na kuwarai Wananchi kujitokeza katika wiki moja iliyosalia kujiandikisha.