"Tumefanya kosa gani kwenye nchi hii? kosa letu kuwa upinzani?"

  • | BBC Swahili
    33,313 views
    Makamu mwenyekiti wa Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema John Heche wakati akitoa maazimio ya kamati kuu ya chama hicho katika makao makuu ya chama. #bbcswahili #Tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw