Ubishi waendelea kuhusu mswada wa fedha kati ya milengo ya kisiasa ya Azimio na Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    3,810 views

    Viongozi wa muungano wa azimio na wale wa Kenya kwanza wameendelea kutofautiana kuhusiana na mswada wa fedha wa mwaka wa 2023 . Mbunge wa eneo bunge la Kaiti Joshua Kimilu anapinga vikali mswada huo akisema utawazidishia wakenya mzigo wa maisha na kusisitiza watauangusha bungeni huku mwezake wa kibwezi magharibi Mwengi Mutuse akiwataka wabunge wote kuunga mkono mswada huo.