- 226 viewsDuration: 2:13Waziri wa kawi na petroli Opiyo Wandayi na mwezake wa afrika mashariki na maeneo kame Beatrice Asukul,wametua Turkana kwa ziara rasmi ya siku mbili,kwa lengo la kuhamasisha jamii kuhusu mpango wa wa serikali wa kufufua upya zoezi la uchimbaji mafuta katika eneo la Lokichar..