Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti Mwingi waibua maswali mapya

  • | Citizen TV
    615 views
    Miili miwili kati ya minane iliyopatikana kaburini eneo la Mwingi ilikuwa na dalili wazi za kunyongwa. Mwili mwingine ulikuwa na majeraha, huku wengine watatu wakipatikana na majeraha kichwani. Na kama anavyoarifu Ode Francis, mpasuaji mkuu wa maiti serikalini Johansen Oduor amefanya uchunguzi wa miili saba, lakini mmoja ulikuwa na kichwa pekee.