Skip to main content
Skip to main content

Ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    113 views
    Duration: 1:55
    Muungano wa waalimu wakuu wa shule za upili kaunti ya Makueni umesema shule hazijapokea vifaa vifaavyo kwa masomo ya gredi ya kumi .Mwenyekiti wa muungano huo amesema pia mgao wa fedha walizopokea ni mdogo mno. Wakati huo huo Seneta wa Makueni Daniel Kitonga Maanzo ameikosoa serikali kuu kwa kuendelea kutuma kiwango kidogo tu cha fedha za kufadhili masomo katika shule za umma , hali ambayo inaendelea kulemeza shughuli za shule mbalimbali za upili.