Tunaangazia ufugaji wa konokono ama ukipenda Snail farming. Ni moja ya ufugaji wa aina yake unaoanza kupata umaarufu nchini Kenya. Kutoka kwa nyama yake katika mlo hadi kwa ute wake unaotumika katika vipodozi na faida zake kibiashara, jifunze mengi kuhusiana na ufugaji huu.
KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs.
Facebook: https://www.facebook.com/kutv.kenya
X (Twitter): https://x.com/kutv_kenya
Instagram: https://www.instagram.com/kutvkenya
TikTok: https://www.tiktok.com/@kutvkenya
YouTube: https://www.youtube.com/@KUTVKenya
KUTV News: https://www.youtube.com/@KUTVNews
Website: https://kutv.co.ke/