Ugonjwa usioeleweka wawahangaisha wakaazi wa Kisii

  • | Citizen TV
    1,483 views

    Jioni hii ya leo, hali imeendelea kuwa mbaya katika vijiji vitatu vya eneo la Mugirango Kusini, ambako wakaazi wanaugua ugonjwa usioeleweka. Familia zaidi zimeandikisha idadi zaidi ya wagonjwa katika maeneo ya Amarondo, Nyabigege na Nyarigiro huku vituo vya matibabu eneo hilo vikifurika wagonjwa. Na kama Chrispine anavyoarifu, maafisa wa afya wamezuru sehemu za vijiji hivi kutathmini hali, huku matokeo ya vipimo yakitarajiwa siku ya jumanne