17 Apr 2026 10:38 am | Citizen TV 348 views Duration: 1:27 Uhaba wa madaktari wa wanyama nchini umetajwa kama mojawapo ya sababu zinazochangia kuongezeka kwa madaktari bandia wa mifugo nchini.