Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa maji Manda

  • | Citizen TV
    159 views
    Duration: 3:01
    Tatizo la ukosefu wa maji Katika Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu limedumu kwa muda mrefu sasa .Hii ni kutokana na eneo hilo kukosa kuwa na visima wakaazi wakitegemea kuchota maji kutoka Kisiwa cha Amu yanayosafirishwa kwa maboti…..