20 Jan 2026 10:32 am | Citizen TV 145 views Duration: 2:02 Huku uhaba Wa Maji pamoja Na mzozo kati ya binadamu na Wanyama Pori ukizidi kuwathiri watoto huko Ganze Kilifi, serikali Na wadau wametakiwa kuweka mikakati Zaidi ili watoto wasalie shuleni.