4 Dec 2025 12:57 pm | Citizen TV 389 views Duration: 1:44 Jamii zinazoishi karibu na ardhi yenye unyevu zilizo na ndege aina ya korongo zimehimizwa kukumbatia uhifadhi wa ndege hawa wa kuhamahama kabla hawajatoweka.