31 Oct 2025 1:48 pm | Citizen TV 100 views Duration: 1:35 Kundi la wahifadhi wa mazingira ya fuo za kusini mwa Pwani limeshikilia kwamba marufuku ya ukataji wa miti aina ya mikoko ingalipo na watazidi kuitekeleza.