Uhifadhi wa tamaduni za wanawake Wasamburu

  • | Citizen TV
    207 views

    Tuelekee kaunti ya Samburu ambako tamaduni imeendelea kuheshimiwa na watu wengi wa jamii hii. Mojawapo ya tamaduni zinazoendeleza kuenziwa ni nafasi ya mwanamke katika jamii.