Ujenzi wa soko jipya la samaki wakamilika Homa Bay

  • | Citizen TV
    1,252 views

    Itakuwa ni afweni kwa wachuuzi 5000 wa samaki katika mji wa Homa endapo soko jipya la samaki litafunguliwa rasmi katika sikukuu ya Madara.James Latano akiwa mjini Homa bay anaarifu zaidi