21 Apr 2026 1:35 pm | Citizen TV 160 views Duration: 3:57 Ukosefu wa lishe bora ni miongoni mwa hali zinazoathiri watoto wakati wa mafuriko katika sehemu mbalimbali za ukanda wa nyanza. watalamu wa afya wakionya kwamba hali hii isipodhibitiwa basi watoto wengi wataathirika zaidi.