24 Feb 2026 1:47 pm | Citizen TV 373 views Duration: 1:59 Ukosefu wa nafasi ya kutosha ya kufanyia masomo ya ziada ni mojawapo ya changamoto zinazo changia kudorora kwa masomo kwa baadhi ya wanafunzi kutoka vitongoji duni hapa jijini Nairobi.