Ukosefu wa Umeme unavyoathiri biashara ya Uokaji katika Soko la Cheptulu

  • | West TV
    26 views
    Ukosefu wa usalama, kupotea kwa umeme mara kwa mara na kupanda kwa bei ya bidhaa ni baadhi ya changamoto wanazopitia wafanyibiashara wokaji wa mikate na keki katika soko la cheptulu kaunti ya vihiga, sasa wakiiomba serikali kupunguza ushuru kwa bidhaa muhimu ili luwawezesha kuendeleza biashara