Licha ya changamoto za ulemavu, baadhi ya wakenya wanaendelea kuthibitisha kuwa uwezo haupimwi kwa hali ya mwili bali kwa bidii na dhamira.
Jijini Eldoret, mwanamume mmoja amevunja dhana kuwa watu wenye ulemavu hawawezi kufanya kazi ngumu, akijijengea maisha kupitia sekta ya jua kali na sasa akiwa tegemeo la familia yake.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya