- 189 viewsDuration: 2:59Elimu imekuwa ikitajwa kama nguzo kuu ya usawa katika jamii. Hata hivyo, nchini Kenya, uwezo wa kiuchumi wa familia huamua mtoto atafika wapi katika safari yake ya elimu. Ukosefu huu wa usawa umeacha familia nyingi maskini bila njia za kujinasua. Katika Kaunti ya Uasin Gishu, familia moja inakabiliwa na hatari hiyo huku umaskini ukitishia kuwanyima ndugu wanane fursa ya kuendelea na masomo yao