- 2,461 viewsDuration: 3:06Upasuaji wa maiti ya mfanyabiashara George Gathu aliyeuawa baada ya kupigwa risasi na polisi huko Karatina umeonyesha kuwa alifariki na majeraha ya risasi. Upasuaji huu ukifanywa huku kanda za CCTV ikionyesha matukio hayo ya jumapili usiku. Mauti ya mfanyabiashara huyu mikononi mwa polisi ulichukua chini ya dakika moja