Skip to main content
Skip to main content

Upepo mkali Lodwar waacha mamia bila makao

  • | Citizen TV
    1,600 views
    Duration: 2:30
    Familia zaidi ya mia tatu katika vijiji vinne mjini Lodwar, Kaunti ya Turkana zimeachwa bila makao baada ya mvua kubwa iliyoandamana na upepo kung’oa na kusomba paa za nyumba zao. Wakazi hao wanataka serikali na wahisani kujitokeza ili kuwanusuru wakati huu wa dharura.