- 1,594 viewsDuration: 3:09Kampeini za uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Mbeere Kazkazini zinaendelea kushuhudia upinzani mkali kati ya chama tawala cha UDA na upinzani kupitia chama cha DP. Hii leo, naibu rais Kithure Kindiki alikabiliana na kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua kwenye shughuli ya kampeini, huku wawili hao wakiwarai wakazi wa Mbeere Kaskazini kumchagua mgombea wao.