Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waliai njama ya kuwahonga wapiga kura katika uchaguzi mdogo

  • | Citizen TV
    986 views
    Duration: 2:49
    Muungano wa upinzani sasa unadai kuna njama ya kuwahonga wapiga kura katika chaguzi ndogo zinazotarajiwa wiki ijayo kama njia ya kushinikiza wananchi kuunga mkono wagombea walioko kwenye vyama vilivyo na ushawishi serikalini. Kinara wa WIPER Kalonzo Musyoka ametaka tume huru ya uchaguzi na mipaka kuhakikisha wanazuia visa hivi ambavyo anasema ni vya kuhujumu demokrasia