- 1,632 viewsDuration: 3:10Viongozi wa upinzani wanataka mkutano wa dharura na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC, kuhusu kile wanachodai ni njama ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Upinzani ukiendeleza madai yake kuhusu matatizo ya vitambulisho ambavyo vinahitajika kwa usajili wa wapiga kura. Viongozi hao wakiwemo Kalonzo Musyoka na Rigathi Gachagua pia wamekashifu kukamatwa kwa waandamanaji waliojitokeza kupinga bei ya mafuta.