- 3,697 viewsDuration: 4:38Muungano wa upinzani umetishia kuandaa maandamano kote nchini iwapo rais william ruto hatapunguza ushuru kwa bidhaa za mafuta nchini. Viongozi hao aidha wamemkashifu rais ruto wakidai kuwa anahusika kwenye sakata ya uagizaji wa mafuta. Na kama anavyoarifu emmanuel too, viongozi hao wanadai kuwa rais anafaidika na ongezeko hilo la kihistoria la bei ya mafuta.