19 Nov 2025 1:16 pm | Citizen TV 376 views Viongozi wa upinzani wameshtumu hatua ya mawaziri na viongozi wa serikali kujihusisha na kampeni za uchaguzi ndogo zilizoratibiwa kufanyika tarehe 27 Novemba