Skip to main content
Skip to main content

Usafi wa maji na Mazingira

  • | Citizen TV
    194 views
    Duration: 2:01
    Serikali ya Kenya inatoa shilingi bilioni 4.3 kila mwaka kukabiliana na madhara yanayotokana na kutozingatia usafi wa maji na mazingira. Taifa pia linapoteza shilingi bilioni 2.1 kila mwaka kutokana na magonjwa ya wafanyikazi wanaokosa kufanya kazi kwasababu ya afya zao kudhoofika.Haya ni kwa muujibu wa katibu katika wizara ya Afya Mary Muthoni ambaye alizindua kitabu ya usafi wa mazingira -SaniBook. Kitabu hicho kinatoa jukwaa jipya mtandaoni la kuhamasisha wananchi kuhusu usafi wa mazingira, na uvumbuzi wa kiteknolojia.