- 1,070 viewsDuration: 3:59Huku zoezi la kuhakikisha wanafunzi wa gredi ya 10 wamejiunga na shule za sekondari ya juu likiingia siku yake ya pili, machifu wanaendeleza zoezi la kuhakikisha wanafunzi wote wanajiunga shuleni mjini mombasa kwa kuzuru mitaa na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anasalia nyumbani. Francis mtalaki anajiunga nasi kutoka Mombasa.