- 264 viewsDuration: 7:32Huku zoezi la kuhakikisha wanafunzi wa gredi ya 10 wamejiunga na shule kwa masomo likiingia siku yake ya pili, machifu wanaendelea zoezi la kuhakikisha wanafunzi wote wanajiunga shuleni mjini Mombasa kwa kuzuru mitaa na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anasalia nyumbani.