30 Oct 2025 1:06 pm | Citizen TV 2,855 views Duration: 1:00 Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi imebatilisha zoezi la uajiri wa maafisa wa polisi lililotangazwa na Tume ya Huduma ya Polisi, ikisema kuwa tume hiyo haina mamlaka ya kikatiba kufanya uajiri huo.