- 1,282 viewsDuration: 1:32Huko kaskazini mwa Morocco kuna Fes el Bali, sehemu ya kale ambapo historia, elimu na maisha ya kila siku hukutana. Ilianzishwa zaidi ya miaka elfu moja iliyopita, medina hii iliyo kwenye orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO haijabadilika sana, lakini bado inakua na shughuli nyingi za masoko, misikiti na wafanyabiashara, ikiivutia mamilioni ya wageni kila mwaka. Utalii unaendelea kukua na hivyo mpango mkubwa wa urejeshaji unaoongozwa na Morocco unasaidia kulinda majengo yake ya kale na tabia yake ya asili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw