Skip to main content
Skip to main content

utamu

  • | Citizen TV
    632 views
    Duration: 2:59
    Ni tabasamu kubwa kwa Wafanyikazi na leba dei ya kufana baada ya Rais William Ruto kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyikazi wa kipato cha chini. Kwenye maadhimisho ya Leba Dei huko Vihiga, Rais Ruto alitangaza nyongeza ya kati ya asilimia 12 na 15 ya mishahara, hatua inayolenga kupunguza makali ya gharama ya maisha