Utata wa nyumba Kiamaiko

  • | Citizen TV
    233 views

    Wakaazi wa mtaa wa kiamaiko wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kusitishwa kwa mpango wa uzinduzi wa nyumba za serikali uliopangiwa kufanywa kesho katika msikiti wa jamia huruma. wakazi hao wanalalamika kutohusishwa kwenye mradi huo na kumtaka mwenyekiti wa supkem Hassan Kirua ole Nado kusitisha mpango huo. mpango huo unaoshirikisha taifa la Qatar na serikali kuu umeibua utata kiamaiko.