- 459 viewsDuration: 3:23Viongozi wa Kaunti ya Samburu wameelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu kuzuka upya Kwa wahuni wanaolenga magari ya uchukuzi kwenye barabara kuu ya Maralal- Opiroi-Baragoi. Viongozi hao wametoa wito Kwa vyombo vya usalama kukabiliana na Hali hiyo ili kuwaondolea hofu wasafiri na madereva wa barabara hiyo