- 870 viewsDuration: 2:13Idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya barabarani eneo la Kikopey hapo jana, imefikia 8 baada ya mtu mmoja zaidi kufariki katika hospitali ya rufaa ya Nakuru. haya yakijiri huku familia tatu za walioangamia kwenye ajali hiyo wakiwa bado hawajatambua maiti za jamaa zao.