- 330 viewsDuration: 2:07Vijana kutoka mji wa Garissa wamekubaliana kushirikiana na maafisa wa polisi kukabiliana na visa vya utovu wa usalama wakati huu mihemko ya kisiasa . Kwenye mkutano uliyowaleta pamoja viongozi wa vijana na wakuu wa polisi, ilibaikinika kuwa matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana ndio chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama hasa kwenye mikutano ya kisiasa. Aidha wanasiasa walitakiwa kukoma kutumia vijana visivyo ili kujinufaisha kisiasa na kuzua rabsha kwenye mikutano ya wapinzani wao.