Vijana na walemavu wahamasishwa kuhusu dhuluma mitandaoni Busia

  • | Citizen TV
    150 views

    Licha ya teknolojia na mtandao wa kijamii kusaidia vijana kupata hela za kukimu mahitaji yao, imebainika kuwa wengi wanaathirika pakubwa kutokana na visa vya uhalifu na uonevu mtandaoni