Katibu katika idara ya vyuo vya mafunzo ya kiufundi-TVETS, dkt. Esther Muoria, amesisitiza jukumu la uhamaji wa wafanyakazi katika kuwaweka vijana wa humu nchini kwenye fursa za ajira za kimataifa. Dkt. Muoria alisema kuwa ustadi wa lugha ni sehemu muhimu ya ushindani katika soko la ajira la kimataifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive