Skip to main content
Skip to main content

Vijana waliofikisha umri wahimizwa kujisajili kupiga kura Kwale

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 2:00
    Vijana waliofikisha umri wa kujiandikisha kama wapiga kura katika kaunti ya Kwale wamehimizwa kuendelea kujisajili na kutafuta nyadhifa za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Baadhi ya viongozi wa kidini na maafisa wa shirika la World Radiance International wamewataka vijana kutokubali kutumiwa vibaya na wanasiasa wakati wa kampeni na kufanya mazungumzo kutatua changamoto zinazowasibu badala ya kuzua vurugu.Wamesema vijana wengi wako na tajriba ya uongozi lakini wamekua wakiachwa nje wakati maamuzi yanayowahusu yanafanyika.